0 Comment
Na Mwandishi,Wetu Michuzi TV Katika jitihada zake za kuendelea kuimarisha utekelezaji wa majukumu yake, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi kuzungumzia masuala ya usalama wa usafiri wa majini kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Akizungumza katika kikao hicho, Mhe. Kanali Mtambi ameipongeza... Read More