0 Comment
Na Mwandishi Wetu, Urambo WANANCHI katika Halmashauri ya Wilaya Urambo mkoani Tabora wamepatiwa mafunzo kuhusiana na namna wanavyoweza kuepukana na sumukuvu kwenye mazao ya mahindi na karanga. Elimu hiyo imetolewa mapema wiki hii wilayani hapa na maofisa wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na wale wa Halmashauri ya Wilaya Urambo. Akizungumza na waandishi... Read More