0 Comment
Mazishi makubwa yalifanyika Jumatano huko Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa wahasiriwa wa ajali ya feri iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 78. Mazishi hayo yaliyofanyika katika makaburi ya Makao ya Nyiragongo ilihudhuriwa na viongozi kutoka sekta mbalimbali na wawakilishi wa makundi ya kiraia na kuongozwa na mawaziri wa mambo ya ndani... Read More