0 Comment
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mariam Ditopile ikitembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya (Horohoro) wakiwa wameongozana na Mwenyeji wao Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.Balozi Dkt. Batilda Burian na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) wakati wa Ziara ya Kamati hiyo Oktoba 9,2024.... Read More