0 Comment
Katibu wa Baraza la Sanaa Zanzibar BASSFU Juma Chum amesema midoli inayoekwa kwenye maduka Zanzibar inaweza kupelekea vishawishi vibaya kutokana na Midoli hiyo kua na taswira pindi inapovalishwa nguo zisizofaa ambazo serikali imekua ikakataza na kupiga marufuku midoli hiyo ambayo inadaiwa kukiuka mila na Desturi za Zanzibar Chum akizungumza na Ayo tv maara Baada... Read More