0 Comment
Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwa kuendelea kutafuta maoni kuhusu sheria inayoisimamia Mfuko huo ili kuboresha utoaji wa fidia kwa wafanyakazi. Jaji Mkuu ametoa wito huo jijini Arusha wakati wa ufunguzi wa kikao kazi baina ya Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania na Mfuko... Read More