0 Comment
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi, amesema Serikali itaendelea kuheshimu misingi iliyowekwa na vyama vya siasa katika kujenga amani na utulivu kwa watanzania wote. Kauli hiyo ameitoa tarehe 8/10/2024 Jijini Dar es Salaam katika ziara yake ya kutembelea Makao Makuu ya ofisi za vyama vya UDP, NCCR... Read More