0 Comment
Mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini yanayoendeshwa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa watumishi wa mamlaka za serikali za mitaa pamoja tawala za mikoa yanatarajiwa kuimarisha usimamizi pamoja na ufuatiliaji wa maendeleo ya miradi inayowekezwa na serikali katika kupeleka shughuli za maendeleo kwa wananchi kwa kuwa watumishi katika idara hizo watakuwa wameimarika vyema. Rai hiyo... Read More