0 Comment
Na. Mwandishi wetu. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mara, Simiyu na baadhi ya halmashauri za mkoa wa Manyara utafanyika kwa siku saba kuanzia kesho tarehe 04 hadi 10 Septemba, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura wapya 491,050 wanatarajiwa kuandikishwa. Kwa mujibu wa makadirio yaliyofanywa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi... Read More