0 Comment
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli nchini (TRC) Masanja Kadogosa ametembelea majeruhi wa ajali ya treni mkoani Kigoma na kutangaza kuwa serikali itagharamia matibabu ya abiria 73 waliojeruhiwa katika ajali ya treni ya abiria iliyoanguka eneo la Lugufu wilaya ya Uvinza usiku wa kuamkia Agosti 28 mwaka huu. Kadogosa amesema hayo alipowatembelea majeruhi katika hospitali... Read More