0 Comment
Chuo cha VETA ya Makete kimeshuhudia ongezeko kubwa la udahili wa wanafunzi katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, kutokana na kampeni maalum ya kuhamasisha wadau mbalimbali kufadhili wanafunzi wanaojiunga na mafunzo chuoni hapo. Taarifa hiyo imetolewa jana, tarehe 4 Oktoba 2024 na Mkuu wa Chuo cha VETA Makete, Elisha Nkuba kwa Mkurugenzi Mkuu wa VETA,... Read More