0 Comment
Na Mwandishi WETU Bungeni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari amewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 2) wa Mwaka 2024 [ The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 2) Bill, 2024], Muswada huo umewasilishwa mbele ya Bunge la Jamhuri ya Tanzania tarehe 3 Septemba, 2024, Bungeni Jijini Dodoma. Mwanasheria Mkuu wa... Read More