0 Comment
Tanga. Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni. Bandari ya Tanga ilijengwa kwa mara ya kwanza mwaka 1914 ili kukidhi mahitaji ya kibiashara na kilimo kaskazini mwa Tanzania. Bandari hii imepata uwekezaji mkubwa wa umma katika kipindi cha miaka mitano... Read More