0 Comment
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dk. Pindi Chana ( wa tatu kulia) na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania, Khensani Mkhombo (wa tatu kushoto) wakiongoza wageni wengine katika uzinduzi rasmi wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2025 Jijini Dar es Salaam Ijumaa. Wengine kutoka kushoto ni mwakilishi wa Chama Cha... Read More