0 Comment
Mlele, Katavi Wananchi wa Kijiji cha Nsekwa, Kata ya Nsekwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wametoa pongezi zao kwa Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutengeneza barabara za lami Kilomita 3.73 ili kuwezesha shughuli za usafiri na usafirishaji. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao wameishukuru Serikali ya... Read More