0 Comment
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akishiriki kikao cha kuhitimisha tathmini kati ya Serikali na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kwa njia ya mtandao, akiwa jijini Dodoma, ambapo timu hiyo ya IMF imefanya Tathmini ya Awamu ya Nne ya utekelezaji wa Program ya Extended Credit Facility-(ECF), inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu... Read More