0 Comment
Na. Vero Ignatus, Arusha Airtel imechukua jukumu la kudhamini mchezo wa Golf kila mwisho wa mwezi wa Monthly Mug kwa kushirikiana na club ya gymkhana ambapo Vijana wameaswa kujiunga na kuondoka kwenye Dhana kwamba mchezo huo ni wa Wazee na Matajiri. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha Mkurugenzi wa biashara kutoka Airtel makao makuu... Read More