0 Comment
Na Humphrey Shao, Shinyanga Tatizo la ndoa za utotoni nchini Tanzania ni moja ya changamoto kubwa inayopelekea kukatika ndoto za mabinti wengi kukatizwa kwa kushindwa kuendelea na masomo yao mara baada ya kulazimishwa kuozeshwa na wazazi wao kutokana na Tamaa ya mali au mila potofu ya jamii inayousika. Shinyanga ni moja ya mikoa ambayo... Read More