0 Comment
Na Ashrack Miraji, Fullshangwe Media Mbunge wa Jimbo la Lushoto, Mhe. Alhaj Shabani Omary Shekirindi, amewasihi wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba mwaka huu. Mhe. Shekirindi alitoa wito huo wakati wa hadhara ya Maulid iliyoandaliwa na wanawake wa Kata ya Mlola, Kitongoji cha... Read More