0 Comment
*Utakuwa mgodi mpya mkubwa katika kipindi cha Rais Samia *Mgodi kutoa ajira zaidi ya 1500 * Waziri Mavunde aelekeza mgodi kufuata mpango wa CSR kwa mujibu wa Sheria. *Aitaka Tume ya Madini kuwajengea uwezo wananchi juu ya fursa zilizopo *Awataka wananchi wa Sengerema kuchangamkia fursa za mauzo ya bidhaa na kutoa huduma SENGEREMA Mradi wa... Read More