0 Comment
Mwenyekiti wa Chama cha Riadha Mkoa wa Tanga Sophia Wakati akizungumza Na Oscar Assenga, Tanga. CHAMA cha Riadhaa Mkoa wa Tanga (RT) kimesema kwamba kitampa ushirikiano wa kutosha muandaaji wa Mashindano ya Riadhaa ya Tanga City Marathon ili kuweza kuondoa changamoto zilizojitokeza msimu uliopita na yaweza kuwa na tija na mafanikio makubwa. Hayo yalisemwa... Read More