Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye mkutano kuhusu ajenda ya upatikanaji wa nishati ulioandaliwa na Taasisi ya Global Energy Alliance for the People and Planet (GEAPP), mkutano huo umefanyika kwenye makao makuu ya Taasisi ya Rockerfeller Jijini New York Nchini Marekani Septemba 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifuatilia... Read More
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini Mhe. Silvestry Koka katika kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya elimu ametumia fedha za mfuko wa Jimbo kiasi cha shilingi milioni tano katika mradi wa ujenzi wa shule ya msingi shikizi ya Saini iliyopo kata... Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Chuo cha Msolopa Kilimani “Al Madrasatul Swiffati Nnabawiyyatil Karimah” mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 24-9-2024, walipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha, (kulia kwa Rais) Sheikh.Sayyid Othman Abdulqadir Othman Mlezi wa Zawiyyatul Qadiria Tanzania,... Read More
Wakulima nchini wamehaswa kutunza fedha pale wanapouza nafaka zao kwa bei nzuri ili soko linaposhuka wawe na hifadhi ya kutosha. Wameelezwa kuwa bei za masoko hazitabiriki hivyo ni muhimu kwa wakulima kuwa makini na rasilimali fedha wanazochuma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hayo tarehe 24 Septemba... Read More
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Dk. John Simbachawene akizungumza katika kikao na Menejimenti ya Tume ya Ushindani FCC wakati alipotembelea ofisini hapo kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw. William Erik. Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw. William ErikErik akimkaribisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Dk. John Simbachawene... Read More
BALOZI wa Tanzania Japan Baraka Luvanda kwa mara ya kwanza amepokea shehena ya Mananasi yaliyokaushwa kutoka kimele na Mapinga katika wilaya ua Bagamoyo Tanzania ikiwa ni sehemu ya utamburisho wa zao hilo katika soko la Japan. Balozi Luvanda amepokea bidhaa hiyo Septemba 24 , 2024 kupitia Kampuni ya Taishin Co. Ltd., ya Japan katika Bandari... Read More
Wakulima nchini wamehaswa kutunza fedha pale wanapouza nafaka zao kwa bei nzuri ili soko linaposhuka wawe na hifadhi ya kutosha. Wameelezwa kuwa bei za masoko hazitabiriki hivyo ni muhimu kwa wakulima kuwa makini na rasilimali fedha wanazochuma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hayo tarehe 24 Septemba 2024... Read More