0 Comment
Na Mwandishi Wetu, Dodoma MRADI wa Kilimo na Lishe NOURISH Tanzania, unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo Norway (Norad) na kutekelezwa na wadau wa maendeleo SNV pamoja na Farm Africa kupitia washirika wake RECODA na MIICO wameandaa siku ya wakulima wa mradi huo katika wilaya 10 ndani ya mikoa mitano ya Dodoma, Manyara, Rukwa, Singida,... Read More