0 Comment
JESHI la polisi limesema kuwa limedhamiria kuboresha huduma zake ikiwa ni pamoja na kubadili fikra juu ya jeshi hilo, kusimamia sheria kikamilifu pamoja na kuimarisha matumizi ya mifumo ya tehama na teknolojia katika utendaji wake Hayo yameelezwa jijini dar es salaam na Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi ilala Kamishna msaidizi wa polisi Mohamed... Read More