Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Beijing China. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla, amesema Wizara hiyo ipo tayari kushirikiana na wawekezaji mbalimbali wa katika ya Mawasiliano walioonesha nia ya kuwekeza nchini. Amesema hayo tarehe 06 Septemba, 2024 jijini Beijing, nchini China mara baada ya kushiriki mazungumzo kati... Read More
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, leo Septemba 6, 2024, amekutana na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Shinyanga mjini, wajumbe wa baraza la jumuiya, na mabalozi katika ukumbi wa CCM Wilaya ya Shinyanga mjini. Mkutano huo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa CCM pamoja na viongozi wa serikali,... Read More
Mwandishi Wetu,Iringa MKURUGENZI Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amewataka wakandarasi wanaojenga mradi wa Umwagiliaji Skimu ya Mkombazi mkoani Iringa kuongeza kasi ujenzi wa miradi hiyo ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali unanufaisha wakulima katika msimu ujao. Pia amewataka wakandarasi hao kuwa na mkakati wa kumaliza ujenzi wa miradi hiyo hadi kufikia... Read More
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umeonesha asilimia 5.8 ya Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (WAVIU) na kutumia dawa wanakabiliwa na tatizo la usugu. Akizungumza Mtafiti Mwandamizi Kitengo cha Maikrobaiolojia na Kinga MUHAS, Dkt, Doreen Kamori amesema utafiti huo ulifanyika mwaka 2020 katika mikoa 22 Tanzania Bara ikiwemo... Read More
Benki ya NMB inashiriki katika mkutano mkubwa wa madini duniani, Africa Down Under, Perth, Australia unaomalizika leo. Mkutano huu wa siku tatu unawakutanisha wadau wa sekta ya madini kutoka sekta ya umma na binafsi ikiwemo viongozi wa serikali, makampuni ya uchimbaji, wawekezaji na wadau wengine kujadili fursa zilizopo, sera na hali ya jumla ya sekta... Read More
Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Bi. Mary Mihigo, akitoa elimu ya fedha kwa wananchi kuhusu umuhimu wa usimamizi wa fedha binafsi, jinsi ya kupanga mapato na matumizi ili kuweka akiba na kujikwamua kiuchumi pamoja na kujiandaa na maisha ya baadaye, wakati Maafisa wa Wizara ya Fedha walipokuwa wakitoa elimu ya fedha... Read More
Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kuwasili mkoani hapo kwa ziara ya chama ya siku saba leo, tarehe 6 Septemba 2024. Mongella ni mlezi wa CCM Mkoa wa Shinyanga. Pamoja na kutia saini kitabu cha wageni,... Read More
Na. Abel Paul Chicago Marekani. Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wakiwa katika Jiji la Chicago Nchini Marekani wametumia fursa ya Mafunzo yaliyofanyika nchini humo kutangaza Utalii na vivutio vya vilivyopo nchini ikiwa ni kuunga mkono Juhudi za mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na... Read More