0 Comment
Donald Trump, mgombea wa Urais kutoka Chama cha Republican, ametangaza mpango wa kuunda tume ya ufanisi wa Serikali ambayo itakuwa chini ya uongozi wa bilionea Elon Musk, ikiwa atashinda uchaguzi wa Novemba 5. Akizungumza katika Klabu ya Uchumi ya New York, Trump pia aliahidi kupunguza viwango vya kodi kwa kampuni zinazozalisha bidhaa nchini, kuanzisha maeneo... Read More