0 Comment
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umeleta matokeo chanya kwa maisha ya watu wa Afrika, hasa kupitia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na nchi hiyo. Ameyasema hayo wakati akihutubia viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall... Read More