0 Comment
Na Mwandishi wetu- Dodoma NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amesema, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa itaandaa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi kwa kuzingatia masharti ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024. Nderiananga ameyasema hayo... Read More