0 Comment
Ikiwa imebaki miezi miwili kuelekea mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma,Taasisi na Makampuni Binafsi ( SHIMUTA) ambayo yamepangwa kufanyika katika Viwanja vya CCM Mkwakwani mkoani Tanga kuanzia tarehe 10 hadi 24 Novemba,2024, Wakala wa Vipimo (WMA)imefanya bonanza la michezo leo Agosti 31,2024, katika viwanja vya Tcc Chang’ombe (Gwambina) Jijini Dar es Salaam... Read More