0 Comment
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Adolf Mkenda,akiwasilisha bungeni Jijini Dodoma makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2025-2026. Na Alex Sonna,Dodoma WIZARA ya Elimu,Sayansi na Teknolojia itawezesha ujenzi wa madarasa 2,730 (shule za msingi 949 na sekondari 1,781) na mabweni 140 ili kuwezesha utekelezaji wa mpango wa elimu ya msingi ya lazima... Read More