0 Comment
Mtoto Mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku kadhaa amekutwa ametupwa kwenye shimo la choo katika mtaa wa Idundilanga halmashauri ya mji wa Njombe huku mama yake akiwa bado hajatambulika. Fioteus Ngilangwa ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo ameieleza Ayo TV kuwa alipokea taarifa ya uwepo wa mtoto huyo ndani ya shimo kwenye nyumba... Read More