0 Comment
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halikujengwa katika misingi ya kuwa jeshi la uvamizi isipokuwa jeshi la wananchi, hivyo litaendelea kulinda amani na kuhimiza majirani kuhimiza amani katika nchi zao. Akizungumza wakati akishiriki kilele cha Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja... Read More