0 Comment
Ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya juu kwa Mageuzi ya kiuchumi “HEET Project” leo Agosti 30,2024 Chuo Kikuu Mzumbe kimeendika historia nyingine kwa kusaini mikataba minne ya utekelezaji wa mradi huo pamoja na kukabidhi kwa Mkandarasi eneo la ujenzi wa kampasi mpya ya Tanga inayoanza kujengwa Wilayani Mkinga katika Kata ya... Read More