0 Comment
Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na Mfalme Mswati wa Eswatini wameshiriki sherehe za kitamaduni kuwaozesha watoto wao. Nomcebo Zuma, 21, alikuwa miongoni mwa mamia ya wanawake na wasichana walioshiriki kwenye Umhlanga Reed Dance kwa mfalme siku ya Jumatatu, na atakuwa mke wa Mfalme Mswati, AFP iliripoti. Wakati sherehe hiyo ya siku... Read More