0 Comment
Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia al-Sudani alisema kuwa kundi la kigaidi la Islamic State (ISIS) halitoi tishio tena kwa Iraq na mazungumzo ya kumaliza muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani kupambana na kundi la IS yanaendelea. Al-Sudani ameyasema hayo katika mazungumzo yake na Meja Jenerali Kevin C. Leahy, kamanda wa muungano unaoongozwa na Marekani... Read More