0 Comment
Na Mwandishi wetu SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeunga mkono uanzishwaji wa Jukwaa la Tanzanite Ceo Roundtable Zanzibar Chapter na kuona ni moja ya njia itakayoweza kukuza na kuendeleza uwekezaji na biashara kwa kukuza uchumi wa nchi. Pia imewataka Watendaji wakuu wa Sekta binafsi kutoka ndani na nje ya nchi kutumia Jukwaa hilo katika kuonyesha Serikali... Read More