0 Comment
Papa Francis, mwenye umri wa miaka 87, aliwavuta zaidi ya watu 80,000 kwenye Misa Kuu iliyofanyika katika Uwanja wa Kitaifa wa Gelora Bung Karno, Jakarta, nchini Indonesia. Tukio hilo lilikuwa kilele cha ziara yake ya siku nne katika mji mkuu wa nchi hiyo, hatua ya kwanza ya ziara yake ya siku 12 katika Asia ya... Read More





