0 Comment
NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Shule ya msingi Tumbi iliyopo katika Halmashauri Kibaha mji kwa sasa bado inakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo kutokuwa na bwalo la kulia chakula,uhaba wa kompyuta pamoja na upungufu mkubwa wa matundu ya vyoo 21. Hayo yamebainika wakati wa halfa ya mahafali ya 53 kwa wanafunzi wa darasa la saba waliohitimu katika... Read More







