0 Comment
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameomba ‘radhi’ Waisraeli kutokana na vifo vya mateka wakati maandamano yakiendelea Mgomo wa jumla uliitishwa nchini Israel Jumatatu Septemba 2 ambapo baadae waziri Netanyahu alionekana akizungumza katika Ikulu ya Washington, Jumatano, Julai 24, 2024. Kauli yake ilikuja wakati kukiwa na maandamano makali ya barabarani kuhusu kushughulikia kwake mazungumzo, maandamamano... Read More









