0 Comment
SERIKALI imekuwa na mikakati mbalimbali ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini na lengo ifikapo mwaka 2034 asilimia 80 ya wananchi wawe wanatumia nishati mbadala katika kupikia. Katika mwaka wa fedha uliopita wamegawa mitungi kwa wananchi na mwaka huu wa fedha wametenga fedha kwa ajili ya kuendelea kugawa nishati mbadala ya kupikia kwa... Read More










