0 Comment
NA DENIS MLOWE, IRINGA DIWANI wa Kata ya Mshindo,, Ibrahim Ngwada amechaguliwa kwa kishindo kuwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuendelea kuwa meya kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Ngwada amechaguliwa kwa kura zote 25 za ndio akiwa mgombea pekee katika uchaguzi huo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa Manispaa hiyo mkoani Iringa. Read More









