0 Comment
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Bw. Nicholaus Merinyo Mkapa amethibitisha dhamira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuunga mkono shughuli za Umoja wa Posta Afrika (PAPU) na kueleza kuwa, Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi wanachama katika kuboresha mifumo ya Mawasiliano, kukuza uchumi wa kidijitali na kuhakikisha huduma za... Read More