0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Jabir Omari Makame ametoa amewataka wananchi wa Songwe kutoa ushirikiano kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Serikali kuwafichua wote wanaofanya magendo na wanaokwepa kulipa kodi. Ameyasema hayo leo Agosti 13,.2025 alipokutana na maafisa wa TRA wakiongozwa na Meneja wa TRA mkoa wa Songwe CPA. Rashid Harith waliofika ofisini kwake... Read More