0 Comment
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura akikata utepe kuzindua rasmi jengo jipya la kisasa la Ofisi ya Dawati la Jinsia na Watoto mjini Tarime, Mara. Jengo hilo limejengwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) kupitia Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa ufadhili wa Serikali ya Finland, chini... Read More