0 Comment
Na OR – TAMISEMI, Arusha Serikali imesema itaendelea kushirikiana na Wadau wa Sekta ya Elimu nchini ili kuhakikisha changamoto zinazoikabili Sekta ya elimu zinatatuliwa kwa kufanya maboresho mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 24 Juni, 2025 Jijini Arusha katika ukumbi wa Kibo Palace Hotel na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu na Usimamizi wa Elimu Ofisi... Read More