0 Comment
Na Janeth Raphael MichuziTv – Bungeni Dodoma MBUNGE wa Nkasi,Aida Kenan (CHADEMA) amesema anatamani kufa ili wana Nkasi waweze kupata maji kutokana na mradi wa Ziwa Tanganyika kusimamia ambao ungepeleka maji katika Vijiji kumi na Tano katika Wilaya hiyo. Hivyo Mbunge huyo ameibana Serikali akiiitaka impe majibu ya kuridhisha kwani wananchi muda wote wamekuwa wakihoji.... Read More