Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akisalimiana na Dkt.Domonick Chalu mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi BoT tawi la Mbeya wakati lipowasili kwenye ufunguzi wa wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”yanayofungua katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, jijini Mbeya kushoto ni Noves Mosses Meneja Msaidizi wa Mawasilisno BoT.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akisalimiana na Noves Mosses Meneja Msaidizi wa Mawasilisno BoT wakati alipowasili kwenye ufunguzi wa wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi” katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, jijini Mbeya kulia ni Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja na katikati ni Dkt.Domonick Chalu mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi BoT tawi la Mbeya.
Dkt.Domonick Chalu mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utumishi BoT tawi la MbeyaMbeya katikati, Bi. Graceana Bemeye Meneja Uendeshaji Benki Kuu tawi la Mbeya Julia na Noves Mosses Meneja msaidizi wa Mawasiliano BoT.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, akisalimiana maofisa mbalimbali katika banda la BoT kushoto ni Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf MkendaMkenda akisaini kitabu cha wageni wakati laipowasili kwenye banda la BoT.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf MkendaMkenda akipata maelezo kutoka kwa Graceana Bemeye Meneja Uendeshaji Benki Kuu tawi la Mbeya alipotemnelea banda la BoT.
Picha ya pamoja.