Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia ‘Stuli’ iliyotengenezwa na Mlemavu wa Macho Gilbert Madole (Kushoto) wakati wa alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Fimbo Nyeupe na Miaka 60 ya Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Oktoba 25, 2024 mkoani Kilimanjaro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Moshi Ally Amir (kulia) kuhusu kifaa cha Nukuu kwa watu wasioona, wakati wa alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Fimbo Nyeupe na Miaka 60 ya Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Oktoba 25, 2024 mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa ‘Jicho la Dhahabu’ Kifaa ambacho kinatumika kurahisisha uwekaji wa uzi kwenye Sindano ya kushonea, wakati wa alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Fimbo Nyeupe na Miaka 60 ya Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Oktoba 25, 2024 mkoani Kilimanjaro. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya watu wasiyoona wakipita mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati wa alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Fimbo Nyeupe na Miaka 60 ya Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Oktoba 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)