Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea eneo lililotokea Ajali ya Kuporomoka Ghorofa kariakoo Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 20 Novemba, 2024.

11/20/2024
0 Comment
97 Views
LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA ENEO LILOTOKEA AJALI YA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM.
Live: Rais akitembelea Kariakoo.