Washindi wa tuzo hizo katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa katika picha ya pamoja



5.Mwakilishi wa Taifa Gas,Joseph Nzumbi akikabidhi zawadi ya jiko kwa mmoja wa washindi Mratibu wa dawati la jinsia Jeshi la Polisi Dodoma Faidha Yusuph.Kampuni hiyo ilikuwa pia iliungana na wadau wote kwenye mapambano hayo mwaka

………………..
Hafla ya tuzo za vinara wa kupinga ukatili wa kijinsia ambao huandaliwa na WILDAF na MKUKI kila baada baada ya kuhitimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia imefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa serikali,wadau mbalimbali wa harakati za kupinga ukatili wa kijinsia,Mabalozi na viongozi wa taasisi mbalimbali.